JamiiForums Usiku wa manane
Haya walinzi wa mitaa hiyo hili linawahusu..
Kwa walio hapa.. Atakae penda kunywa chai au kupata Lunch pamoja na kupiga stori si za Siasa tutafutane PM mitaa ya Principal Edinburgh Charlotte Square UK day Jmosi na Jpili tutafutane..
Fulsa kwangu kukutana na walinzi wenzangu wa USIKU WA MANANE..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom