Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622






shule inanikeep busy, tuko kwa exam's
Next week tunafunga kwa ajili ya Valentine's Day![]()
Sent using Jamii Forums mobile app






shule inanikeep busy, tuko kwa exam's
Next week tunafunga kwa ajili ya Valentine's Day![]()
Haipendezi nawaangalia tu nasema hiiiiiiCaptain hii ni haki kweli? Watu wanatumia rasilimali muda ambao sio wa lindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haipendezi nawaangalia tu nasema hiiiiii


kusema hii haitoshi chukua hatuaSawa chiefTuwasamehe Tuu,wengine hawapo bongo jamani.

Boss kubwa upo? Sasa kama hawapo bongo mbona muda wetu wanakuwepo piaTuwasamehe Tuu,wengine hawapo bongo jamani.
Hatua tutachukua usiku wajumbe wote wakiwepo.


Wanasafiri leo wanarudi kesho,wakienda usiku wakirudi usiku halafu wanakuwa zamu hakuna namna hapo!Boss kubwa upo? Sasa kama hawapo bongo mbona muda wetu wanakuwepo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasafiri leo wanarudi kesho,wakienda usiku wakirudi usiku halafu wanakuwa zamu hakuna namna hapo!
Tume ya uchunguzi iwe huruHatua tutachukua usiku wajumbe wote wakiwepo.![]()
Wanagoja usiku wa manane ifike,juu sai ni usiku wa masaba
Wengine nyumbani hakukaliki tunawahi lindoniWanagoja usiku wa manane ifike,juu sai ni usiku wa masaba
huh?sijakuelewa but anyway fiti
Mama kanjanja ana makelele sana ananifanya nimtoroke nije lindoni mapemahuh?sijakuelewa but anyway fiti
Inategemea ka ni?in terms of tribe ni mtu mwenye amezaliwa na wasee wawili wa kabila tofauti eg tusema mama yako ni mkamba na baba yako ni mkikuyu sasa we ni halfcast wa mkamba na mkikuyu,hpe umeelewa sasa mi ni fourcast,my mum and dad wote ni halfcastsSamahani kama ntakua nimetoka nje ya uzi huu, ila nisaidieni tu "Halfcust" ni mtu wa aina gani?
Sent using Jamii Forums mobile app