Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Mi sijambo kamanda. Denti yule si ajabu anahangaika na homework huko aliko !!!Shimba kwema? Umempeleka wapi Felister tokea juzi hamjaonekana?![]()
Mi sijambo kamanda. Denti yule si ajabu anahangaika na homework huko aliko !!!Shimba kwema? Umempeleka wapi Felister tokea juzi hamjaonekana?![]()
Mi sijambo kamanda. Denti yule si ajabu anahangaika na homework huko aliko !!!


Sungusungu wanachungulia lindo mkononi wameshikilia bapa.Yani mlivyoanza kwa mbwembwe nikajua leo ni mwendo mdundo mpaka jumatatu kumbe hamna pumzi kabisa![]()
Hahahaha hawawezi kutoboaSungusungu wanachungulia lindo mkononi wameshikilia bapa.
Kama wako mpakani Namanga




Endelea tu kulindaa babelove..baridi tumia lile shuka la kimasai nilikokupaUnaenda wapi sasa unaniacha hapa na baridi lote hili?
Ukuje wewe bwana shuka chafu nimeilowekaEndelea tu kulindaa babelove..baridi tumia lile shuka la kimasai nilikokupa
Mzima mamalai. Vipi hali yako?Mzima chaliyangu ?
Mzima mamalai. Vipi hali yako?
Nafurahi kujua u mzima. Karibu hiyo ndiyo spirit ya ulinzi, usiache mwenzio peke yake.Mimi salama kabisa, nimekuja lindoni kukusaidia maana naona wamekukimbia