Nilisahau chief. Nimerudi kusaini.



Huogopi ? Mimi sio mtu mzuri kabisa. Tena kwa mrembo wa kani kama wewe.

Icebox9 nilimpenda bidada aknipa jina hilo na mimi nikabadilisha banah juzi kaniambia anitaki kisa am too handsomeHalafu kweli. ..
boxi9 umempeleka wapi?
Tatizo dstv hawaonyeshi NBA kweli yani haya continental wanawashindaNasubiri game ya Lakers vs GSW, hilo swala la anniversary tutalijadili kesho Mungu akijaalia.
Leo tuendelee na mengine.
Adios bandugu.. Baadae naenda kupiga chetezo misa ya kwanza nisije ku dose na mkaa nikachoma kanzu![]()
Tatizo dstv hawaonyeshi NBA kweli yani haya continental wanawashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona ehhhMkataba ukiisha kama seasons 4 za nyuma.
NBA League pass is cheap and very convenient.