JamiiForums Usiku wa manane
Niliona unaita watu waje PM au Whatsapp ndo maana nikasema hivyo. Mine was just a simple and an innocent observation kamanda. Feel free and do your thang
Haha fiti shida ni niki post kitu kuna watu kadhaa wanaanza kuteta about my swahili nikaa wananitusi na ku generalise kenya nzima na swahili yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
455221977_216878~2.jpeg
 
Sasa unakua disrespectiful.. Unamaanisha wa TZ hawako mature na hawana respect ama vipi?
Zii,nauliza tu coz hateti ati nina kiswahili kibaya,ebu enda ucheki my posts uone kuna watu kadhaa watatu wameshinda tu wakinisumbua,I dont generalise pple hata angalia my posts,hio ni ujinga ati kuchukua watanzania wote na kuwaweka box moja, i dont do that shit,hata kama toka nikam nimekuwa nikiekwa kwa box moja,unatext kitu mtu ashaanza kuropokwa hawa wakenya sasa unashangaa mbona ku generalise,si you call mi by my name

Fiti buda nimekusoma poa.
 
Back
Top Bottom