JamiiForums Usiku wa manane
Daah,nimekumbuka jambo,hivi mwisho wa kuchangia humu ni muda gani,maana huwa nawaona wadau wanatupiamo michango yao mpaka jua likiwa kati kati ya utosi,huwa naogopa kuweka maoni yangu kuchelea kuharibu utaratibu. Kwa ufupi huwa najikaza sana aisee.
 
Unaniangusha sasa, tangu nimeanza kuwafanyia watu usaili wewe ni mtu wa kwanza unajinyima sifa, wengine anajipiga masifa mengi mpaka unachanganyikiwa lipi ni la ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sifa huwa zinaponza na kutufanya tufanye mambo kwa kuwaridhisha na kufanya mambo nje ya uwezo wetu.

Usipende mtu kumsifia na usipende pia kusifiwa.

Ila unaweza kumpa mtu sifa kwa siri,kama ilivyo kumnasihi kiongozi kwa siri.
 
Back
Top Bottom