Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
aiseeeHapo kwenye vikao vya harusi ehhh nani huyo abachukuliwa ni bbade oh nooooooooooooo nitapiga mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
aiseeeHapo kwenye vikao vya harusi ehhh nani huyo abachukuliwa ni bbade oh nooooooooooooo nitapiga mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikua wapiii usiku wa kuamkia leo lindoni haukuwepo, unamuacha bbade l500km and u claim is ursaiseee
inawezekana haukuniona wewe tu, siku zote jua alipo yeye na mimi nipo ndio maana anakuwa huru ktk lindo....otherwise usingemuona hata yeye.Ulikua wapiii usiku wa kuamkia leo lindoni haukuwepo, unamuacha bbade l500km and u claim is urs
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, why?
tayari giza limeisha...tulale ya mchana sasa turefukeHuku kwetu ni mchana, nyie bado giza?
Mkuu nipe siri ya mafanikio na mimi mwaka huu nioe sasainawezekana haukuniona wewe tu, siku zote jua alipo yeye na mimi nipo ndio maana anakuwa huru ktk lindo....otherwise usingemuona hata yeye.
watch it.
Hahaha salama sana Zurri habari za ulipoDooooh,salaleee. Leo nilijipanga niwe wa kwanza kufungua lindo lakini wapi....
Mmeshindaje waungwana.



Hahaha salama sana Zurri habari za ulipo
Inapendeza kusikia hivyo. Wadau leo naona bado wamesinziaHuku mambo mswano kabisa.