Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Ndoa Don
Miaka 10 ya nini?
Miaka 10 ya nini?
Kuwaza mbinu za kurevange utakula muda wako kumbuka hilo utapoteza shabaha zako nyingine katika maisha yakoMuda unapoteaje?
I will one day revenge, unless I die before you.
Mke wa mtu [emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye vikao vya harusi ehhh nani huyo abachukuliwa ni bbade oh nooooooooooooo nitapiga mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye vikao vya harusi ehhh nani huyo abachukuliwa ni bbade oh nooooooooooooo nitapiga mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa
Saa hii?Nataka niwakimbie
Watu kumbe mpo kwenye maadhimisho duhNjoo ule ya Anniversary miaka 10....wiki ijayo basi [emoji6][emoji6][emoji6]
Hatakua sio wa kizazi hichiShemeji yako huwa hapigi picha kabisa.
Kajipange upya, hii kesi ilishaamuliwa na mahakama ya rufaa. Na uamuzi wa mahakama ya rufaa ni wa mwisho.
Saa hii?
Ndoa Don
Hahaha kama kuku [emoji23][emoji23]Eehh nadonyoa tu hapa
Wakubwa wa huu mji na viunga vyake,natoka kidogo,baadae. Lindo la leo limefana sana kwangu mimi ni la kupigiwa mfano lindo hili.
Vifaa vyangu vya kazi hivi hapa.
Hahaha kama kuku [emoji23][emoji23]