Kwema Chief?Nawasalimia waungwana.....!
Mpikie tu mkuu ila angalia usimtese binti wa watu!!!!hahaha asante sana Vinci,
nimevutiwa zaidi na sahani hiyo ya chini...nitampikia dada yako siku moja sijui ataweza kula
Cc bbade
Hatari lakini Salama.
Na kwako pia. ..
Hahahaha aibu hii,,mechi mbili 10-0Kipindi cha pili kimeshaanza bro? Nilikwambia dazeni hukuniamini. Aibuuu![]()
Hahahaha pole mkuuMimi kama kiranja na kwa mamlaka mliyonipa wenyewe nawaamuru mrudi kule kwenye jukwaa la michezo mnajadili simba.
Mkimaliza mje lindoni na mada nyingine. Nasema hivi maana sitaki tusababishiane maudhi ya kihisia![]()
Wengine hatutumii chumvi sasa"Mwanamke asiye na haya ni sawa na chakula bila chumvi"

Wengine hatutumii chumvi sasa![]()
Naelewa sana tu nachangamsha gengeHiyo lugha ya picha mzee,imejumuisha ladha kwa ujumula.



Bad gal RiRi,,huyu dada bhanaKaRihana haka nako bana...
View attachment 1011887
Naelewa sana tu nachangamsha genge![]()
Tunazungumzia chumvi gani kwanza?Wengine hatutumii chumvi sasa![]()





Sema ila kwa sauti ya chini
Ya mombasa sio uvinza kigomaTunazungumzia chumvi gani kwanza?![]()