Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Tuzo ya mfanyakazi Bora lazima ihusike etihahaha unajua ukikabidhiwa majukumu ukakubali lazima ujitume bwana 😂
Tuzo ya mfanyakazi Bora lazima ihusike etihahaha unajua ukikabidhiwa majukumu ukakubali lazima ujitume bwana 😂
ahhh wapi mwenye mimi hapa mgeni kabisa 😂😂😂Tuzo ya mfanyakazi Bora lazima ihusike eti
Ghaiii.. Waaaah
Nipo mwalimu jana na leo.
Ipo ile ya mfanyakazi Bora anayechipukiaahhh wapi mwenye mimi hapa mgeni kabisa 😂😂😂
Tukalale sasa
Daah,haya hamna namna,maadamu umesema wewe mimi sina kipingamizi.
Hata bado sifiki, nimpya sana kuna wenye wana deserve hizo tuzo.Ipo ile ya mfanyakazi Bora anayechipukia
Babai.. Niikute mezani answersUsiku mwema wandugu. ...
Mkuu siti ya kwanza imehaiwa.. Jaribu kesho..Naona leo mapemaaa mmeniwahi
Mbona mapema?Usiku mwema wandugu. ...
Mauaji ya watoto au?Nawaza yanayoendelea Njombe!
Ndiyo mkuu! Na hakuna vyombo vya habari vinavyotolea ufafanuzi wa kutoshaMauaji ya watoto au?
utaiotea siku moja moja sana 😂Mkuu siti ya kwanza imehaiwa.. Jaribu kesho..
Ufafanuzi huja baada ya upelelezi wa kipolisi kufanyika.Ndiyo mkuu! Na hakuna vyombo vya habari vinavyotolea ufafanuzi wa kutosha
Kwani na wewe si miongoni mwa hao WatuHata bado sifiki, nimpya sana kuna wenye wana deserve hizo tuzo.
Hapana bado. Labda kama kuna weekly au monthly awards 😂😂😂😂Kwani na wewe si miongoni mwa hao Watu