Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,460
Wewe ni mwalimu wa Kiswahili? Si uende Rwanda, Namibia na Sauzi huko wameanza kufundisha Kiswahili katika shule zao nyingi?
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Ebwana habari njema hebu ntafute acces
Wewe ni mwalimu wa Kiswahili? Si uende Rwanda, Namibia na Sauzi huko wameanza kufundisha Kiswahili katika shule zao nyingi?
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Teh Teh nishazoea kulala na hizo tracksuit na masweta mie
Chacharika mtandaoni. Vijana nyie mnatumia mitandao kusaka mbunye tu na kucheza games. Kila kitu kiko mtandaoni kwa sasa. Kama uko Dar nenda kwenye balozi zao ukaulizie. Najua vijana wana BA za Kiswahili na Linguistics sasa wanafundisha Kiswahili Rwanda na wengine Namibia...na wanalipwa vizuri...Ebwana habari njema hebu ntafute acces
Sasa hapa nko na bukta tu nmelowa jasho ukivaa hzo si tutalala pabichi!
Chacharika mtandaoni. Vijana nyie mnatumia mitandao kusaka mbunye tu na kucheza games. Kila kitu kiko mtandaoni kwa sasa. Kama uko Dar nenda kwenye balozi zao ukaulizie. Najua vijana wana BA za Kiswahili na Linguistics sasa wanafundisha Kiswahili Rwanda na wengine Namibia...na wanalipwa vizuri...
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Pole !!!Unanipa shida kubadili kwenda Celsius. ......[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Muone [emoji16][emoji16][emoji16]Narudi kusoma Kiswahili....
Shukrani sana
Muone [emoji16][emoji16][emoji16]
M.D na Kiswahili wapi na wapi?
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Oooooooh ndo napita hivoo
Faida 7 za kulala uchi - JamiiForumsNitoeni matongotongo niwe naenda na wakati basi. ....
[emoji14][emoji12]
Unakimbia kwenda wapi?[emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
hahaha unajua ukikabidhiwa majukumu ukakubali lazima ujitume bwana 😂Ni aje Mkuu chaliifrancisco Yani vile Uko makini na lindo zako
hutegei Ata kwa kumuangushia bwana Mkubwa toxic 9
gudy niteBaadaye wakuu. Mi naangusha gari...Blessings...
View attachment 1007458
Sent using Bonge la TECNO tena mpya