JamiiForums Usiku wa manane
Duuuuu ni ngumu sana, maana hata mchungaji wangu alniambia hakuna haja ya kubisha na mtu asiyetaka kuamin.

Sisi wengine tunakuza imani zetu ili tuanze kutenda miujiza kwa kutumia Neno la Mungu,

Wengine wanaangaika kuchambua yanayokosewa na kuelezewa vibaya ni yapi katka bible.

Soon nitaanza kukemea hata pepo hadi litoke nduki.
Pole nenda nae taratibu, muelekeze aelewe utamu wa kukaa zizini na ubaya wa kukaa nje ya zizi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuu ni ngumu sana, maana hata mchungaji wangu alniambia hakuna haja ya kubisha na mtu asiyetaka kuamin.

Sisi wengine tunakuza imani zetu ili tuanze kutenda miujiza kwa kutumia Neno la Mungu,

Wengine wanaangaika kuchambua yanayokosewa na kuelezewa vibaya ni yapi katka bible.

Soon nitaanza kukemea hata pepo hadi litoke nduki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini wewe kama mchungaji ni jukumu lako kuhakikisha kondoo wapo salama maana utadaiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuu ni ngumu sana, maana hata mchungaji wangu alniambia hakuna haja ya kubisha na mtu asiyetaka kuamin.

Sisi wengine tunakuza imani zetu ili tuanze kutenda miujiza kwa kutumia Neno la Mungu,

Wengine wanaangaika kuchambua yanayokosewa na kuelezewa vibaya ni yapi katka bible.

Soon nitaanza kukemea hata pepo hadi litoke nduki.

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu siutakuwa umempoteza kondoo?
utaenda kujibu nini kwa Sir God?
 
Npatirn bas wakuu maana mashine ishaanza kukatakata hapaa free basic kale kalink ka jnaaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom