Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Kwa kukumbatiana tight sana sana [emoji16][emoji16][emoji16]Penguine hupambana nalo vipi kaka
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Kwa kukumbatiana tight sana sana [emoji16][emoji16][emoji16]Penguine hupambana nalo vipi kaka
aibu nimeona mimiHakika na vile ndoa mnazhudumia ndan ya mablanket cjui kama hata chuma mchicha mnaijua
Karibu sana ila moto huku wa kupikia tu sio wa kuota
Kwa leo hili bonge la TECNO limeishia hapo...unless...View attachment 1007449
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
cuddling
Kwa leo hili bonge la TECNO limeishia hapo...unless...View attachment 1007449
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
sawa nabakia tu nilipoNikiamka utakuta majibu mezani. ..ujisomee
Eehhh unitoe ushamba mapema nisije kuaibisha
Utawakuta wako mamilioni wamebanana sawasawa. Baada ya muda walio pembeni nao wanapewa nafasi ya kuja katikati kwenye joto na wa katikati wanaenda pembeni na mbadilishano huo unaendelea. Unakuta hali ya hewa ni -50F lakini kwenye kutaniko lao wameshonana joto lipo mpaka 40F...[emoji23]aisee ntawarazama documentary ypu tube
Utawakuta wako mamilioni wamebanana sawasawa. Baada ya muda walio pembeni nao wanapewa nafasi ya kuja katikati kwenye joto na wa katikati wanaenda pembeni na mbadilishano huo unaendelea. Unakuta hali ya hewa ni -50F lakini kwenye kutaniko lao wameshonana joto lipo mpaka 40F...
[emoji23]Na tena kulala na nguo za ndan ty sio tracksuit
Baadaye walinzi wangu. Muwe na lindo jema [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1007453
Sent using Bonge la TECNO tena mpya
Wewe ni mwalimu wa Kiswahili? Si uende Rwanda, Namibia na Sauzi huko wameanza kufundisha Kiswahili katika shule zao nyingi?Haya ntafutie shule nije kufundisha kiswahili huko
Utawakuta wako mamilioni wamebanana sawasawa. Baada ya muda walio pembeni nao wanapewa nafasi ya kuja katikati kwenye joto na wa katikati wanaenda pembeni na mbadilishano huo unaendelea. Unakuta hali ya hewa ni -50F lakini kwenye kutaniko lao wameshonana joto lipo mpaka 40F...
Umezoea kulala peke yako labda...Teh Teh nishazoea kulala na hizo tracksuit na masweta mie