Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,460
Narudia tena. Ungekuwa unatumia TECNO kama mimi hicho kisimu wala kisingekuwa na kiherehere cha kuweka signature ambayo imebadilishwa manually kama hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Za tangu jana lakini?
[emoji23]mkuu bado mgeni wa juz tu mie
Za tangu jana ni njema sana ndugu yangu naona ndo unashika lindo!