Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,532
- 81,261
Hongereni. Ila nawashauri mngeyaacha yakomae mvune ili mpate mbegu na mengine mle ugaliNdio
Hongereni. Ila nawashauri mngeyaacha yakomae mvune ili mpate mbegu na mengine mle ugaliNdio
Mkuu mbona mapema umewahi seat ya pembe.
Malaika wa Mungu tunapita kuwalinda wale wanaomba usiku huuMkuu mbona mapema umewahi seat ya pembe.
List imekosa jina moja hapoBidada bbade cha upole ,chaliifrancisco ukija lindo uje na gomba, bidada Felister bidada mpenda mahindi chomwa yenye viungo, mzee baba wa mapicha mapicha SHIMBA YA BUYENZE, Thad bidada aliepotea lindoni, lindoni anakuja kwa kubipi huyu Zurri, Suriya mbaba ukuje lindoni huwa unalinda vizuri sana umakini A
Sent using Jamii Forums mobile app

Sio moja tu nahisi ni manne hivi mkuu, pia nilikusahau mdau aise mwenye kutafuna mirungi lindoni na banzokaList imekosa jina moja hapo![]()
'Banzoka' ndiye mdudu gani huyo mzee mwenzanguSio moja tu nahisi ni manne hivi mkuu, pia nilikusahau mdau aise mwenye kutafuna mirungi lindoni na banzoka
Sent using Jamii Forums mobile app

Banzoka sio mithili ya mdudu, tatizo umekuja mjini juzi unatusumbua hapa, hebu kamata mtutu zunguka lindo pande zote'Banzoka' ndiye mdudu gani huyo mzee mwenzangu![]()
alafu atupe taarifa ya lindoBanzoka sio mithili ya mdudu, tatizo umekuja mjini juzi unatusumbua hapa, hebu kamata mtutu zunguka lindo pande zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakusoma mkuuWaku leo nipo kwenye majukumu mazito ya kuosha watu walopumzika mlele kwahyo soon nawaacha ili mie nawaandae ili asubuhi waje wahucka kuwachukua wakiwa safi
Hahaha gomba leo haijaingia siku za jumanne haiingiagiBidada bbade cha upole ,chaliifrancisco ukija lindo uje na gomba, bidada Felister bidada mpenda mahindi chomwa yenye viungo, mzee baba wa mapicha mapicha SHIMBA YA BUYENZE, Thad bidada aliepotea lindoni, lindoni anakuja kwa kubipi huyu Zurri, Suriya mbaba ukuje lindoni huwa unalinda vizuri sana umakini A
Sent using Jamii Forums mobile app
umekuwa mzto kdogo ni kule kwenye majokofu mengi na wanalazwa watu mfu