Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,761
- 15,578
Chuka shuka bichi jifunike... Utatafuta joto lilipo mwenyewe.
Daslam joto jamani
Daslam joto jamani
Umeshajaribu ilo?Chuka shuka bichi jifunike... Utatafuta joto lilipo mwenyewe.
Umeshajaribu ilo?
Ooh vizuriMm na joto tuu marafiki.
You...What Else
Sio kweliYou...
Sio kweli
Ahsanteni sana. Niko jijini Dar na tumemaliza maziko salama...Pole sana mkuu
AmiinPole sana mkuu, roho ya dada yetu ilale mahala pema
Leo nimeghafilika sana, imani yangu inaniambia Buvac ndo alikua kocha mkuu, kaondoka timu kaachiwa msaidizi.Hawa Liverpool Leo watasababisha lindo nilione gumu
Hii nyuzi sijawahigi kuielewa hata kidogo!!
Hahahah dahUsiombee usingizi ukate alafu mke awe analea.
Mbona utakimbilia bafuni na sabuni.
Tupo salama kabsa,,za kwako bibie??Mko salama?
hahahaDar Kuna Joto Kiasi Cha Kwamba Mtu Akiagiza Barafu Anasisitiza Liwe la Baridi... 😕
