HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Bbade habari za siku nyingi.
Bbade habari za siku nyingi.
Unanisingizia labda tunapishana, siku upo lindo mimi sipo na siku nikiwepo wewe haupoSalama ndugu, za kwako za kulala mapema?
Mimi nipo kila siku, wewe tu, naonaga Una aga mapemaaa....Unanisingizia labda tunapishana, siku upo lindo mimi sipo na siku nikiwepo wewe haupo
Mkuu bora upumzike mapema tu unakufa goli hata 4
Ni kweli! Kuna siku napita kuwa salimia wadauMimi nipo kila siku, wewe tu, naonaga Una aga mapemaaa....
Leo uko likizo?
Sawa sawa.... Leo usikimbie mapemaNi kweli! Kuna siku napita kuwa salimia wadau
Leo nipo nipoSawa sawa.... Leo usikimbie mapema
Dar Kuna Joto Kiasi Cha Kwamba Mtu Akiagiza Barafu Anasisitiza Liwe la Baridi... 😕
Inaelekea huko hali ni teteKuna mtu leo kaniambia, unaweza kuchemsha maji juani.
Poleni wakazi wa Dar,Kuna mtu leo kaniambia, unweza kuchemsha maji juani.
Inaelekea huko hali ni tete
Kuhusu nini,NaUnGa mKoNo hOjA....![]()
Poleni wakazi wa Dar,
PoleniHuku joto balaa
NaUnGa mKoNo hOjA....![]()