Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,206
- 1,151
Joto+Mbu+Mafua
Nishafika boss, naomba ripoti yangu!
mbona mapema sana bado lisaaTunafunga lango
mbona mapema sana bado lisaa
tupo tunakagua kwa mbalimbaliNakagua lindo ,naona walinzi wametepeta
mondi ndio anatoka stegini na crew nzima ya wcb hapa show itakua imeisha sasa
mtu chake kakamilisha bila tatizo loloteLindo umemkabidhi nani kipindi chako ukiwa nagwanda
Pole sana mkuuWakuu nimeondokewa na Dada yangu. R. I. P Dada mkubwa...
ondoa shaka mkuu taa zilizimwa na kila mmoja akaambiwa atoe na cm na shangwe liliendelea vzr tuDuh walinzi wako imalisheni ulinzi kwa ma binti wkt wa kutoka
ondoa shaka mkuu taa zilizimwa na kila mmoja akaambiwa atoe na cm na shangwe liliendelea vzr tu
Kuibiwa silaha kunaanzia hukuHakuna kitu kitamu kama usingizi wa mlinzi.
Sawa mie huku porini muda badomtu chake nakusaidia kufunga lindo tuonane baadae mida ya wanga
Wakija wasalimieMuda wa kujiandaa na kazi yetu ya ulinzi huu ,hima hima wakuu