capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Usimfanyie mpenzi wako Kila kitu vingine muachie mchepuko wake
Usimfanyie mpenzi wako Kila kitu vingine muachie mchepuko wake
I can help! Nitajie ID yake.Jamani kuna member wa uzi huu wa usiku wa ma8 nampenda kwelikweli lakini hataki kunielewa.... Kusema cha ukweli kwake hata sijielewi
Usimfanyie mpenzi wako Kila kitu vingine muachie mchepuko wake
Yess me pia imenichukua muda kuelewa nilicho andika.Sentensi ngumu kuelewa.
Sentensi ngumu kuelewa.
Habari ako Boss,Hahahaha
Katika sentensi rahisi sana kuielewa kuwahi kutokea hapa duniani ni hii.... Yaani iko waziiii kama jua la saa sita mchana.
mzima kabisa dadaa, kukumiss tuNiambie Kaka....mzima?
I can help! Nitajie ID yake.
Habari ako Boss,
Umeona mahali nikitaka kusaidia issue kama hii tofauti na hapa.?Penda kusaidia katika hizo mamboz?
Vizuri Boss.Nzuri Mkuu
mzima kabisa dadaa, kukumiss tu
Umeona mahali nikitaka kusaidia issue kama hii tofauti na hapa.?
nipe ishuuPoa poa
Umetokea wapi leo?
Umeadimika