Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,251
- 90,445
Hii Liverpool tumekufa
Hujambo lakini,Asante, tutazoea tu
Dah! leo mmepatikana naona.Hii Liverpool tumekufa
Hahaha, yaani dah nirudi ktk lindo tu,hakuna namnaDah! leo mmepatikana naona.
Hujambo lakini,
Pole sana Boss, ndo hali ya mchezo.Hahaha, yaani dah nirudi ktk lindo tu,hakuna namna
Very alive.Sijambo, sijui wewe?
Very alive.
Pole sana Boss, ndo hali ya mchezo.
Daslam joto jamani
Usiku na mchanaJoto usiku au mchana au kote kote ?
Usiku na mchana