Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
Jamani si muda mrefu hatujakutana humu ndani
Wa kuniuliza habr za mwaka
Wa kuniuliza habr za mwaka
Mwaka umefika?Jamani si muda mrefu hatujakutana humu ndani
Mwaka umefika?
Nije wapi?Basi njoo nikupe zawadi
Nije wapi?
Kwema hatujambo kiongozMuda sana sijaingia humu ndani... kwema wakuu?
Kwema kabisaMuda sana sijaingia humu ndani... kwema wakuu?
Aiseee
Fungua niingie ndani
Nafunga geti rasmi, tukutane mapema kesho
![]()
Wewe umepitia wapi wakati nimeshafunga geti?![]()
Mkuu bora upumzike mapema tu unakufa goli hata 4Hawa Liverpool Leo watasababisha lindo nilione gumu
taratibu mkuu kuna mikeka inapumua hukuHawa Liverpool Leo watasababisha lindo nilione gumu
Juzi uliniacha kwenye mataaWewe umepitia wapi wakati nimeshafunga geti?![]()