Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,419
Amiin.Pole sana mkuu, Mungu akupe wepesi kwenye kipindi hiki kigumu kwako.
Amiin.Pole sana mkuu, Mungu akupe wepesi kwenye kipindi hiki kigumu kwako.
Pole sana mlinzi mwenzetu kwa kumpoteza mpendwa dada yetu. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu ulichonachoWakuu nimeondokewa na Dada yangu. R. I. P Dada mkubwa...
Pole sana mlinzi mwenzetu kwa kumpoteza mpendwa dada yetu. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu ulichonacho
Nimefanya nini tena jamani, kuitwa na boss asubuhi yote hii?
Amen!Nina ripoti yako ofcn, ulipoti haraka sana
R.I.P Dada yetu mpendwa
Nimefanya nini tena jamani, kuitwa na boss asubuhi yote hii?Amen!
Wakuu nimeondokewa na Dada yangu. R. I. P Dada mkubwa...
Pole kiongoziWakuu nimeondokewa na Dada yangu. R. I. P Dada mkubwa...
Tuzingatie muda wa kuingia kazini wadau ,mahudhurio yamekua hafifu Sana
Msalimie Mondnaomba ruhusa mapema nipo nagwanda mtwara nafuatilia tamasha ila nikiona halieleweki nawahi lindoni
Nishafika boss, naomba ripoti yangu!Tuzingatie muda wa kuingia kazini wadau ,mahudhurio yamekua hafifu Sana
Siku hizi walinzi wachache sana
HahahaTupo sema wengine tunajificha kuwaangalia wale wategaji na wapiga soga. Sasa ole wao....!
Hahaha
Punguza mikwala