JamiiForums Usiku wa manane
Hili suala la wapiganaji wetu wa Jeshi la Wananchi kulinda maduka yote ya Fedha za Kigeni Jijini Arusha limenishtua sana. Hakika nimefunzwa kazi za Jeshi ni adhimu mno ( Kulinda Katiba, Kulinda Mipaka na Dharura maalumu sana ). Sina hakika kama kulinda maduka ni dharura maalumu
 
Back
Top Bottom