Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
Hahahaaa ila ww ...umemisiwa na wanajukwaa wa jf usiku wa mananeWewe na mwenzio ndo mmeniamsha, nilikuwa naota zangu niko majuu nakula bata...agrrrrr mmeniharibia[emoji53]
Nimemisiwa na nani? Mwambie nilimmisi zaidi[emoji6]