JamiiForums Usiku wa manane
DsXgzFEWsAA63ve.jpg

SAD!!!
 
Hili suala la wapiganaji wetu wa Jeshi la Wananchi kulinda maduka yote ya Fedha za Kigeni Jijini Arusha limenishtua sana. Hakika nimefunzwa kazi za Jeshi ni adhimu mno ( Kulinda Katiba, Kulinda Mipaka na Dharura maalumu sana ). Sina hakika kama kulinda maduka ni dharura maalumu
mwisho wa yote sote tutakufa and
No one above the law thx
 
Hili suala la wapiganaji wetu wa Jeshi la Wananchi kulinda maduka yote ya Fedha za Kigeni Jijini Arusha limenishtua sana. Hakika nimefunzwa kazi za Jeshi ni adhimu mno ( Kulinda Katiba, Kulinda Mipaka na Dharura maalumu sana ). Sina hakika kama kulinda maduka ni dharura maalumu
Ngoja tufikishe koroshow ghalani mwa Bwana alafu tutakutafuta tukuelezee kwa kina dharura maalum ni zipi.
 
Back
Top Bottom