Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Lindo limebaki wazi mkuuulinzi hakuna kabisa
Lindo limebaki wazi mkuuulinzi hakuna kabisa
tutaibiwa sasaLindo limebaki wazi mkuu
hujambo lknHali ya hewa, mandhari tulivu kabisa
Sijambo.hujambo lkn
ZimefikaHahaaa mwanaume anatakiwa akeshe anayelala ni umama huo
Me napita nilikwepo Thad au hb wa kigogo wakipita hapa wafikishie salam zangu
Yatasomba wengiMambo yakienda kombo yaache
Nenda wewe
Watu wanawaza namna nzuri ya kuzitapika zile dolar za Mweshimiwa.Leo kmya hapa
Ukiona hivyo ujue hiyo safari sio ya mbali.Safari huanza na hatua moja.
Unazungumzia wale jamaa waliokuwa Lesotho??Watu wanawaza namna nzuri ya kuzitapika zile dolar za Mweshimiwa.
Ya mbali inaanzaje mkuuUkiona hivyo ujue hiyo safari sio ya mbali.