Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Kama kifua kinakusumbua, mpaka miezi mitatu ijayo kuna guarantee gani kuwa utakuwa bado hai? Nenda kwenye zahanati ya karibu. Huyu unafanya appointment wakati huumwi mf. ishu kama za tezi dume, annual physical na mengineyo.
Naona sasa ule usemi wa mafahali wawili hawakai zizi moja unataka kutimia.
Kizuri kula na nduguyo mkuu.



