Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
Unakula hukohuko jikoni?
Haswa mie mtu wa jioni...sofa sijui makochi nayasikia kwa mjumbe
Haswa mie mtu wa jioni...sofa sijui makochi nayasikia kwa mjumbe
ukarimu kama haki vile ilivyo inavutia balaa na kila mtu anapenda kutendewa haki.
Usiogope bibie,wewe ingia tu.... Mengine ndani ndio mahala pake ukiyapeleka nje utaonekana kameme.
Si unajua si kilia kilicho pinda kina dosari,vingine kupinda kwake ndio ukamilifu wake.
Nasema hivi karibu bbade pitiliza mpaka ndani ukirimiwe na ...................
Hapo mwisho uko sawa,
Kuna mahali unachanganya kidogo,
Hiyo ni transporter 1, anasafirisha begi lenye binti ndani. Tairi inapata pancha, kwenye kubadili anagundua kabeba binti, movie inaanzia hapo.....
Namjua ndio maana nikakwambi yupo humu njoo utete naye
Aaaahhh.....atakuwa ametuma ujumbe kwa watu wengine sio mimi sasa...
Misele ina raha yake...
Nimependa hili shairi
Hilo sio Shairi kwani halijakizi sifa na vigezo vya kuitwa Shairi,bali hiyo ni Nathari iliyojaa lugha ya mapenzi tele na huruma ya mfano wake .......
Nipo ...
Hahaha, kasema anaona mijitu inavyokutolea macho, so imebidi afunguke isije akachelewa.
Uunganishe tenaHuku mahudhurio yangu hafifu Sana labda weekend. Leo usingizi tu umekata
eehh na kitanda kiko huku huku
Kama kawaida lindo ndio habari ya mjiniFanyeni yote mkumbuke jukumu letu ni kulinda,na huwezi kulinda km hukeshi ,na huwezi kukesha km una usingizi
Uunganishe tena
Pole kwa kupaliwaKho! Kho! Kho! Sema naye mzee baba
Aaaaaah kumbe wewe jirani yangu hapa,
Nishaijua ID yako, umekuwa unaificha sana.
Hivi yule tall anatumia ID ganj humu?