Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
SawaHahahaahaa.. umekatika bado
SawaHahahaahaa.. umekatika bado
Jikaze wasikicheke maswahiba zako .....
Usisahau kuweka ndimu na pilipiliMaji tu, acha nitie asali kabisa.
Achelewe tena? acha nikasome tena
Hata sijui Tall ni nani Jirani....
Na tomatoUsisahau kuweka ndimu na pilipili
Una Kiswahili kigumu ujue?
Pole kwa kupaliwa
Pole kwa kupaliwa
Una Kiswahili kigumu ujue?
Unasema!?Hahahaahaa.. umekatika bado

Nakuona unachapa kazi kizalendo kabisaEbwanae....
Inasema!?![]()
Usisahau kuweka ndimu na pilipili
Kuna sehemu kuja ujumbe wako
Hapana hizo ni jazanda tu rahisa,sanjari na majazi lengo na shabaha ni kufikisha ujumbe mahala pake.
Kusoea kote ila usikosee kwenye maneno,hapa nauzungumzia ukimi ...
Siitiki mpaka niitwe ....