Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
NimekaribiaKaribu
NimekaribiaKaribu
NimefurahiUmecheka au umenicheka?![]()
Basi hiyo mikono aiweke kichwaniKuweka mikono mfukoni ni kukosa kujiamini,na vipi ikitokea uka jikwaa balance utaiata wapi ?

Dah hii avatar unaweza jikuta unaacha lindo ukaingia windoni,kesho kibarua kikaota nyasi00:55
Nimetinga lindoni
Upo fresh?Nimekaribia
Akifanya hivyo ataonekana hayawani....Basi hiyo mikono aiweke kichwani![]()
![]()
![]()
Kijana fursa hiiAkifanya kweli hapa atakuwa amenionea na akishindwa atakuwa ameniogopa![]()
![]()
![]()
Yes...sijui youUpo fresh?
Kwani huko mawindoni ni wapi? Na nani anawinda? Anawinda nini hasa? Na kwa nini awinde?Yaani nikutoe lindoni nikupeleke mawindoni? Nitake radhi
Anawinda wezi wasivamie group 😀 😀Kwani huko mawindoni ni wapi? Na nani anawinda? Anawinda nini hasa? Na kwa nini awinde?
Kumbe wewe ndo muwindaji?Bro tupe muda kidogo tuwinde......
haya unawinda nini na kwa nini?Nipo fresh.Yes...sijui you
Basi basi baba kaa nayo tu usije ukachafua hali ya hewaHaya nayotaka kukwambia nikiyaweka hadharani nitaharibu.

Karibu sana mamitoh!00:55
Nimetinga lindoni
Asante sana,wewe ni muelewa sana.Basi basi baba kaa nayo tu usije ukachafua hali ya hewa![]()
![]()
![]()
Kwako nilizidisha ukarimu ina maana hukuliona hilo?Mgeni siku zote hukaribishwa vizuri ndio desturi ya mwafrika.

Alaa mbona nyie wanaume wa kijiwe hiki siwaelewi?Shukrani sana kaka mkubwa......nimekupa kijiti one time nikimaliza kuwinda nakuja kuchukua.
Sipajui, naomba unipeleke nikapaone panafananaje
Nakumiss huku ujueJana na leo
