JamiiForums Usiku wa manane
Yeye kuna kosa alilifanya ambalo ni la kuvunja sheria zake hizohizo, wakajikuta anajua siri ambayo hakutakiwa kuijua.

Kwa hiyo alitakiwa kuwa eliminated, ni siku nyingi kidogo sijaiona, almost 11 years, so baadhi ya details sizikumbuki vyema.
Huo ndo ubaya wa kuwatumikia wabaya, kosa dogo tu linakumaliza. Ngoja kesho nizitafute nizipitie upya.

Umesema pt1na 2 ndio kali eeeh?
 
Hapo mwisho uko sawa,
Kuna mahali unachanganya kidogo,
Hiyo ni transporter 1, anasafirisha begi lenye binti ndani. Tairi inapata pancha, kwenye kubadili anagundua kabeba binti, movie inaanzia hapo.....
Yeye kuna kosa alilifanya ambalo ni la kuvunja sheria zake hizohizo, wakajikuta anajua siri ambayo hakutakiwa kuijua.

Kwa hiyo alitakiwa kuwa eliminated, ni siku nyingi kidogo sijaiona, almost 11 years, so baadhi ya details sizikumbuki vyema.
 
Njoo tu huku nje...ndani nimeshaanza kukuogopa...huo ukarimu sijazoea

ukarimu kama haki vile ilivyo inavutia balaa na kila mtu anapenda kutendewa haki.

Usiogope bibie,wewe ingia tu.... Mengine ndani ndio mahala pake ukiyapeleka nje utaonekana kameme.

Si unajua si kilia kilicho pinda kina dosari,vingine kupinda kwake ndio ukamilifu wake.

Nasema hivi karibu bbade pitiliza mpaka ndani ukirimiwe na ...................
 
Back
Top Bottom