Hiyo naipata nataka zaidi ya hapo
Hapo umeniacha kwenye mataa
Haya njoo ukae hapa, usiogope!
Kuna alizovunja na ndo movie zilikuwa centered hapo!
Kuna moja aliopen package akakuta Bomu na ilikuwa limplipue na yeye mwenyewe (Part 2 hii).


Ndio maana waswahili hawatakagi hayo mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye guniaTushamuona njoo useme naeMkimuona mniambie .....
Hapo wapi wataka kunikalisha?
Kama sofa vile, usiogope.
@Nleterewa Nganengo una kesi ya kujibu huku ukitoka tu ndotoni tunakudaka hapa haiwezekani umfunze mtoto wa watu tabia mbaya.Kuna yule mwenye jina refuuuu...hata siwezi kulitamka..akasema nifuatane naye...ndio akanifundisha....


Ndio maana waswahili hawatakagi hayo mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia
Tushamuona njoo useme nae
Uwe na amani zote kipenzi
acha uoga,ingia tu .....
Inna kumbe una kaka humu jf?
Nimeuona, bado sijajua namjibu nini?