Kwanini ? Nilimuaga kaka mkubwa hapo mara moja nilitoka kwenda kuwinda sasa nikamwambia nikirudi nitamjulisha.Alaa mbona nyie wanaume wa kijiwe hiki siwaelewi?
Kwanini ? Nilimuaga kaka mkubwa hapo mara moja nilitoka kwenda kuwinda sasa nikamwambia nikirudi nitamjulisha.Alaa mbona nyie wanaume wa kijiwe hiki siwaelewi?
Ahsante sana loveKaribu sana mamitoh!
Huku mahudhurio yangu hafifu Sana labda weekend. Leo usingizi tu umekataNakumiss huku ujue![]()
Hahaha,amekataa nisiende PM. Nasibiri mlale wote nitupe tena karata.Akishindwa na hapa duh, na nikiona mmepotea najua mko PM ,kila la kheri huko
HahahahDah hii avatar unaweza jikuta unaacha lindo ukaingia windoni,kesho kibarua kikaota nyasi
Kho! Kho! Kho! Sema naye mzee babaDah hii avatar unaweza jikuta unaacha lindo ukaingia windoni,kesho kibarua kikaota nyasi
Karibu, nitakuongoza bila shaka.Sipajui, naomba unipeleke nikapaone panafananaje
Oooh! Kweli walimwengu hatuna jemaAkifanya hivyo ataonekana hayawani....
Mkuu ukiwa unanyata unaweka mikono nyuma ili ubalansi mwili na kuruhusu kunyata effectively, ukiweka mfukoni unapoteza balansiKuweka mikono kwa nyuma ni ishara ya kufulia, mwambie aiweke mfukoni


Aaah! Hapo sawaAnawinda wezi wasivamie group 😀 😀
Bana bana ,kazi yenyewe hii ya ulinzi wa Mali za watu,usikute hata hy ni Mali ya MTU ,acha niilinde tu ,kwa mujibu wa sheriaKho! Kho! Kho! Sema naye mzee baba
Umeona eeeh!Asante sana,wewe ni muelewa sana.
Niekuona tangu jana na nikakwambia juu ya hili,yaani wewe ni muelewa mno.Umeona eeeh!
Bana bana ,kazi yenyewe hii ya ulinzi wa Mali za watu,usikute hata hy ni Mali ya MTU ,acha niilinde tu ,kwa mujibu wa sheria
Basi endelea kula kwa macho huku ukipambana na hali yakoNipo fresh.
Mi pia nimo humo kwenye mkumbo?Alaa mbona nyie wanaume wa kijiwe hiki siwaelewi?
Unakumbuka niliwahi kukwambia kuhusu hii avatar yako ? Unatuharibia majukumu yetu kipande hiki.Hahahah