JamiiForums Usiku wa manane
Jamani mimi ni mgeni humu well literally si mgeni i joined 2014 and i never looked back sasa kasheshe nashindwa kubadili jina yangu niweke jina ya kinyambilisi ili niweze kutapika vilivyo.
 
M pm mods ndio nini?? Yaani unajua JF ni kama sayari yAke mna chats zenu, mna accounts zenu hadi raha hapana Ili niweze kuwa na guts za kutapika jina itabidi libadilike ndio tutaenda sawa na wasadikikA
 
Back
Top Bottom