Mbona ndiyo walinzi wanawasili kwenye sehemu zao? Kuwa na subira mkuu...
Kwema lakini?
Mi nipo powa kabisa uzima tele. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwema mkuu, sijajua kama uzima upo kwako
Kwema mkuu, sijajua kama uzima upo kwako
Wanyantuzu wangu hamjambo?Mi nipo powa kabisa uzima tele. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Marhabah! Hujambo totooo?Shikamooni watu wote humu
NAKUJA...........
Nimewamiss[emoji8]Wengine tuna mapanga
Hahahaha, umetaja geti dogo umenishtua,mmmh nimeamini JF ina watu wengi,au geti hili dogo sio nalo jua mm?
Fanya mpango kwa huyu kimwana ndugu!
Fanya mpango kwa huyu kimwana ndugu!
Shikamooni watu wote humu
Salama kabisa, wamelala watoto tumebaki wakubwa tu hapaJamani swalaama hapa, mmelala?
Itikia salamu yangu sio vizuri hivyoShikamoo na wewe
Una uhakika na unachokinena?Hiyo ni avatar tu, siyo halisi.
Itikia salamu yangu sio vizuri hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23] basi zote nipeni mimi nazitaka hizo shikamoo zenuShikamoo na wewe
Una uhakika na unachokinena?