Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Jamani mimi ngoja nilale niwaache muendelee kutaniana. I LOVE YOU BOTH[emoji8][emoji8]
Usiku mwema, We Love You Too.
Jamani mimi ngoja nilale niwaache muendelee kutaniana. I LOVE YOU BOTH[emoji8][emoji8]
[emoji23] pole hiyo inatokea siipendi hata Mimi mtu unamuona kabisa mnalingana lakina kutwa kukuamkia.Hahaha kuna sehemu nikienda kuna mmama huwa ananiamkia mpaka naona aibu, maana nahisi tunalingana ila ananiamkia naitika tu.
We love you too[emoji8] [emoji8] msalimie shemeji huko uendakoJamani mimi ngoja nilale niwaache muendelee kutaniana. I LOVE YOU BOTH[emoji8][emoji8]
Ipi hiyo namimi kwa riwaya nimoKuna riwaya moja matata inanipeleka puta.Jana imenilaza saa 9.30 Nisameheni tu bure.
Thad mtupu au macho yangu yanaanza kuzeeka?
Upon!Ipi hiyo namimi kwa riwaya nimo
[emoji23] pole hiyo inatokea siipendi hata Mimi mtu unamuona kabisa mnalingana lakina kutwa kukuamkia.
Ni kuitika tu hakuna jinsi
Sijui kama wamekumbuka kukojoa kabla ya kulalaSalama kabisa, wamelala watoto tumebaki wakubwa tu hapa
NiponUpon!
Na hasa wa kikeNaitika tu, cha ajabu watoto waliotakiwa kuniamkia sasa ndo hawaniamkii.
Na hasa wa kike
Lindo linaendaje mitaa yako.Nipon
Ila shikamoo ina ukakasi hata mimi siipendi sijui naionajeSana, wa kiume hatuamkiani.
Liko poa amani imetawala ...uko uliko je?Lindo linaendaje mitaa yako.
eh! ni usiku mwingine tena...leo nimeamua kuangalia x_movies nadhani sitalala!
Tunashukuru amani tupu..Liko poa amani imetawala ...uko uliko je?
Tafsiri sio nzuri na ilikuwa ikitumikia sana enzi za kitumwa,Ila shikamoo ina ukakasi hata mimi siipendi sijui naionaje
Una makonfidensi eeeh! Wanyantuzu wawili utawaweza? Unawajua Wanyantuzu wewe au unawasikiaga tu?Wanyantuzu wangu hamjambo?
Karibuni tulale[emoji6]