Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Alhamdulillah Mnyazi Mungu ananijalia rehema zakeMie sijambo kabisa
Mzima lakini?
Alhamdulillah Mnyazi Mungu ananijalia rehema zakeMie sijambo kabisa
Mzima lakini?
Angalia saa pengine ni muda wa kutoka lindoKuna kuku wa jirani anawika, hii ni mida ya kuku kuwika kweli!
Acha kumzeesha mtoto wa mwanamke mwenzioItikia salamu yangu sio vizuri hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23] basi zote nipeni mimi nazitaka hizo shikamoo zenu
Yamekuwa hayo!!!Tusizeeshane
Yeye hataki kuzeeshwa ety[emoji23][emoji23][emoji23] basi zote nipeni mimi nazitaka hizo shikamoo zenu
Yamekuwa hayo!!!
Kuna kuku wa jirani anawika, hii ni mida ya kuku kuwika kweli!
Huyo atakuwa kuku wa kizungu, si unajua wazungu kwa kujali muda
[emoji23][emoji23][emoji23] ungekuwa karibu nami ningekuomba unipunguziepo ns mimiKuna kipindi nilifanya kazi ya ualimu nililipwa shikamoo zote nilizowahi kuzitoa, mpaka zimepitiliza.
Nafurahi kusikia hivyo.Alhamdulillah Mnyazi Mungu ananijalia rehema zake
Kashazeeka hataki tu kukubaliAcha kumzeesha mtoto wa mwanamke mwenzio
[emoji1] [emoji1]Kuna kipindi nilifanya kazi ya ualimu nililipwa shikamoo zote nilizowahi kuzitoa, mpaka zimepitiliza.
Najua hiloNatania bana
Kuna jogoo wa jirani yangu alikuwa anawika 24 hrs. Kila ikifika kamili tu utamsikia. Siku hizi simsikii sijui washamla supuAnazingua, kashtua na wenzake, mimi hata sijawahi kusikia kama hii ni mida ya wao kuwika.
Kuna riwaya moja matata inanipeleka puta.Jana imenilaza saa 9.30 Nisameheni tu bure.Nafurahi kusikia hivyo.
Juzi tumekuitaa weee ukauchuna
Kuna jogoo wa jirani yangu alikuwa anawika 24 hrs. Kila ikifika kamili tu utamsikia. Siku hizi simsikii sijui washamla supu
[emoji7]we sikuizi si hunipendiNimewamiss[emoji8]
Kashazeeka hataki tu kukubali
Natania bana
Jamani mimi ngoja nilale niwaache muendelee kutaniana. I LOVE YOU BOTH[emoji8][emoji8]Najua hilo