Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
nipo na bbade huku ukuta wa magharibi msitusahau kwenye roll call tafadhali
Pole pole mkuu. Tangu wakati ule ulipokuwa unahangaika ina maana hujafanikiwa kule?Daah,hii machine kama Crane ya tani 1000. Kudadadadeeeeeki.
Hahahaha, umetaja geti dogo umenishtua,mmmh nimeamini JF ina watu wengi,au geti hili dogo sio nalo jua mm?Mkuu wengine tuko upande huu kwenye geti dogo, usitusahau roll call.
Pole pole mkuu. Tangu wakati ule ulipokuwa unahangaika ina maana hujafanikiwa kule?
Acha kuzuga mkuu. Bbade kalala home mbona?
Kuna siku hapa ulikuwa umemuwakia binti fulani ulikuwa unashusha nondo za kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16]Kule wapi bro ? Mimi siwezi kufanikiwa sababu sina madhara kabisa....
[emoji16][emoji16][emoji16] Mimi najaribu kumkonfyuzi tu Mr. Miller. Sina madhara kabisa na wala simo kwenye mashindanoAcheni ngendembwe hapa mwenye kisu kikali ndio mla mnyama,ngoja niwe mtazamaji.
Kuna siku hapa ulikuwa umemuwakia binti fulani ulikuwa unashusha nondo za kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] Mimi najaribu kumkonfyuzi tu Mr. Miller. Sina madhara kabisa na wala simo kwenye mashindano
Mapambo yapiIla huu uzi bila yale MAPAMBO yetu huwa haunogi kabisa....Ukweli nawaambia.
Wengine tuna mapangaAcheni ngendembwe hapa mwenye kisu kikali ndio mla mnyama,ngoja niwe mtazamaji.