Nilimaanisha unamtumia private msg moderator ila kama bado ngumu hutaelewa ..jaribu kufungua account nyingine kwa id unayotaka nirahis tu unajiregister tu ndani ya lisaa unaanza kuchatiM pm mods ndio nini?? Yaani unajua JF ni kama sayari yAke mna chats zenu, mna accounts zenu hadi raha hapana Ili niweze kuwa na guts za kutapika jina itabidi libadilike ndio tutaenda sawa na wasadikikA
Nilimaanisha unamtumia private msg moderator ila kama bado ngumu hutaelewa ..jaribu kufungua account nyingine kwa id unayotaka nirahis tu unajiregister tu ndani ya lisaa unaanza kuchati
Sawa .karibuSomeone did help nimesha reach out kwake. Asante. Nitakua mjuzi humu with time
Nasema hivi muda bado...... Sasa ole wenu.

Unatishia ee tutakususia lindo mwenyewNasema hivi muda bado...... Sasa ole wenu.
Poa tu utasusa mwenyewe wenzako lazima wakusaliti.......Unatishia ee tutakususia lindo mwenyew
BadoWadau vp,usiku wa manane tyr au?
Lazima tuende wote sawaPoa tu utasusa mwenyewe wenzako lazima wakusaliti.......
Mambo Eddy!Nawasalimu warembo Thad, Asteria, mother confessor, na warembo wengine wote mnaofanya ulinzi kwa sasa
Bila shaka mko poa

Nakwambia jaribu uone.... Wengine humu wamekufa wameoza kwa .............Lazima tuende wote sawa
Tangu ampate Money Talk hachangamani na sisi tena.Huyu dogo yuko busy sikuhz ata lindon hapitiii
Hata sielewi sijamwona siku mbili hziiiii
Shauri yako. Mtoto akililia wembe....
Nyie wanyantuzu ndio kusema mnaniogopa au?Wacha weee.... Kutaftiana kesi huko unajua TPC inatoa adhabu gani kwa kosa hilo

Au mtakatifu kamteka baada ya kujua amemzidi kete kwako?Hata sielewi sijamwona siku mbili hziiiii
