Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,747
- 12,463
Fresh, sema nini remba Kali nimelielewaAchana nao sisi tulisongeshe
Fresh, sema nini remba Kali nimelielewaAchana nao sisi tulisongeshe
Safi sana, mwanaume kugangamala bwaaCha pua hakiumi sana,nitakomaa mpaka kieleweke.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] thadi una vitukoNilidhani hainihusu kwani tangu nizaliwe sijawahi ambiwa kuwa mimi ni mrembo[emoji6]
Tuko pamoja nakomaa na wewe mpaka tone la mwisho.....!Safi sana, mwanaume kugangamala bwaa
Vituko gani tena jamani?[emoji848][emoji3] [emoji3] [emoji3] thadi una vituko
Tuko pamoja nakomaa na wewe mpaka tone la mwisho.....!
😀😀😀😀🙄
Kupambana ndio ada yangu. Nitakutafuta.Pambana mtoto wa kiume
Hapa si pake,,,,Nini sasa?[emoji848]
Hapa si pake,,,,
Apambane na hali yake au nini?Dadavua kidogo,,Pambana mtoto wa kiume
We utakuwa mrembo tuVituko gani tena jamani?[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23] Hili lemba hili....ipo siku litamdondokea mtuFresh, sema nini remba Kali nimelielewa
Mkuu mambo vipiAstelia umemisiwa hukuu
Safi mkuu lete maneno..Mkuu mambo vipi
Sawa thadiAkiitika mpeni salamu zangu