Ohoo vp kwa wanawake
Hawa wasafi wanazingua nilijiandaa kuangalia Vimwana Bethidei ya Wema!
Vigezo na masharti ya huu uzi ni kwamba usiku wa manane unaanza saa sitaKwani usiku wa manane unaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
Vigezo na masharti ya huu uzi ni kwamba usiku wa manane unaanza saa sita
Halafu mbona kama wametususia lindo raiaHapo sijui, labda useme wewe
Mnazingua.Nawashukuru sana kwa kufungua geti mapema maana nilikuwa bored! Haya njooni tutete
Halafu mbona kama wametususia lindo raia
Hahahaha,upi huo ? Kwanza yumo humu ?Naomba mrejesho wako na bbade![]()
Kwani hukuona kilichotokea humu jana ?Naomba mrejesho wako na bbade![]()
Sikuona, kwani kulitokea nini?Kwani hukuona kilichotokea humu jana ?
Kadhia ilisha jana ile ile,nilipigwa cha mbavu nikakubali matokeo.Sikuona, kwani kulitokea nini?
We si umepokea habari yako thadNaona wamelala, wakiamka watakujibu![]()
Kadhia ilisha jana ile ile,nilipigwa cha mbavu nikakubali matokeo.
Nataka nijaribu kwako sasa hivi.....


Mimi nitakupiga cha puaCha pua hakiumi sana,nitakomaa mpaka kieleweke.Mimi nitakupiga cha pua
We si umepokea habari yako thad
Hatujaanza kulinda bro muda bado,tunawindana kwanza,lindo mpaka usiku wa manane.Nawaona mko bize na lindo za kazi wakuu