eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Maneno iko mingi sana maana tanzania yetu hii hayakosekaniSafi mkuu lete maneno..
Maneno iko mingi sana maana tanzania yetu hii hayakosekaniSafi mkuu lete maneno..
Naam maneno hayakosekani kiongoziManeno iko mingi sana maana tanzania yetu hii hayakosekani
Huyo jana nilimpa onyo kwa kuendekeza usingizi na kuliacha lindo pweke yake!Astelia umemisiwa hukuu
Sawa sawa mkuu ila mda unakalibiaHatujaanza kulinda bro muda bado,tunawindana kwanza,lindo mpaka usiku wa manane.
Nimelipenda hata mm hilo lemba,.Hili lemba hili....ipo siku litamdondokea mtu
Njoo ulidondoshe kwanguHili lemba hili....ipo siku litamdondokea mtu
Atarudi tu lindoni. Vipi habar za huko Kumamoto?Huyo jana nilimpa onyo kwa kuendekeza usingizi na kuliacha lindo pweke yake!
Asante sana mamy!Nimelipenda hata mm hilo lemba,.
Hahahaha achana na hiyo wilaya kuna mji unaitwa §§§§§§§§ alifai kabisa,,,,Atarudi tu lindoni. Vipi habar za huko Kumamoto?
Kuna watu wana bahati Wallah,wenye kibande hata harruwa hatujaletewa mpaka mida hii,Asante sana mamy!
Karibu mgeni, nikuandalia chai, gahawa au juisi?
Oh,.mashaAllah bado una ukarimu wako uleule somo angu,..mie mwenyeji humu nilitoweka tuu kwenda ku-comfess😁Asante sana mamy!
Karibu mgeni, nikuandalia chai, gahawa au juisi?
Kama nani mkuu?Nilichogundua kuna warembo wengi Huku wanatumia majina ambayo huwezi kugundua kuwa ni wanawake mpaka upekenyue profile yake
Atarudi tu lindoni. Vipi habar za huko Kumamoto?
Hahahaha achana na hiyo wilaya kuna mji unaitwa §§§§§§§§ alifai kabisa,,,,
Hahaa inaitwaje..Hahahaha achana na hiyo wilaya kuna mji unaitwa §§§§§§§§ alifai kabisa,,,,
Gugo hilo neno google earth ujioneeShabashhh mbona mwatukana hadharani?![]()
Sio matusi ni majina ya Mikoa na wilaya za hapa macho madogo!Shabashhh mbona mwatukana hadharani?![]()
Tamko lake kwa kiswahili ni tusi kubwa,,,Tuwaachie wenyewe...Hahaa inaitwaje..