Sasa inakuwaje ?Asante sana mamy!
Karibu mgeni, nikuandalia chai, gahawa au juisi?
Sasa inakuwaje ?Asante sana mamy!
Karibu mgeni, nikuandalia chai, gahawa au juisi?
Oh,.mashaAllah bado una ukarimu wako uleule somo angu,..mie mwenyeji humu nilitoweka tuu kwenda ku-comfess[emoji16]
Alafu watemi kama wako Bar,Nilichogundua kuna warembo wengi Huku wanatumia majina ambayo huwezi kugundua kuwa ni wanawake mpaka upekenyue profile yake
Ahsante mwana-ketu wee...ukinipa chai ya kijani sasa itanifaaAlaa kumbe weye? Mchana nilishindwa kukutambua japo nilipata wasiwasi kuwa ni mtu anijuaye. Nimefurahi sana kukuona tena mwanakwetu
Mm ndio maana sitaki kuzifuatilia sana,nahisi za mitegoNilichogundua kuna warembo wengi Huku wanatumia majina ambayo huwezi kugundua kuwa ni wanawake mpaka upekenyue profile yake
Umesema?[emoji23]Alafu watemi kama wako Bar,
Hao watemi ndio nawapenda mimiAlafu watemi kama wako Bar,
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeAlafu watemi kama wako Bar,
Kuna muda watoto wa kiume huwa tunapenda kudekezwa
Lugha Na majina yao yananifurahisha sana..Tamko lake kwa kiswahili ni tusi kubwa,,,Tuwaachie wenyewe...
Upon?Upo?
Mtu chake vipi huko mzee wa moja baridi moja motoMm ndio maana sitaki kuzifuatilia sana,nahisi za mitego
22:58
Poa Mkuu, nazigonga km kawa ,huku na imarisha lindoMtu chake vipi huko mzee wa moja baridi moja moto
Sana.alikuja muungwana mmoja anaitwa (kolodani)nimefupisha sasa mwanamme mwenzio umuite Mapmb Aaahh haifai,Lugha Na majina yao yananifurahisha sana..
KivipiHama hiyo nchi maana inakupoteza
Ahsante mwana-ketu wee...ukinipa chai ya kijani sasa itanifaa