JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Inaelekea enzi zako ulikuwa mahiri wa kunukuu yaani umeninukuu mpaka ambayo nilipanga kuyasema keshokutwa [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi umesahau wahenga wenzio walikwambia hakuna aijuaye baadae yake itakuaje, wewe umejuaje ya kesho kutwa[emoji40]
 
Ya leo siwezi kuifakamia maana muuzaji kanambia gahawa ya leo kaitia klorokwini 72, naogopa kujiova dozi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kweli maana tokea mwanzo nilihisi kuna kitu sio Bure, hiyo itakua harufu yake ni sawa na klorokwin 31[emoji40]
 
Hapo sasa umeniacha njia panda kama yule mwenye hisia za kutolala ambaye sasa hivi anakoroma mpaka mtaa wa7 wanamsikia. Nitafsirie kwa kindengereko swahiba [emoji101] [emoji101]
Hahaha kindengereko ndo kwanza niko kwenye irabu ya kwanza, si nimesikia siku hizi wajita wa kitafsiri gugo chao, ingizamo hayo maneno utapata jibu[emoji6]
 
Watu wa humu nimewamiss sana, naam watatu nimewakumbuka zaidi....
Nazikumbuka zile siku,
Tulizokesha wote usiku,
Japo sikuwa na kitu,
Maisha yangu yalikuwa ya furaha kwa kuwa nanyi.

Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie:
Nleterewa Nganengo,jjes,Neybright,Mwifwa,HB wa Kigogo,Kichwa Kichafu,Maserati,Spade 4 spade,No escape, Manga ML,Inna,Demiss,Iceman 3D,mumu,Mr. Miller,Ipogolo,mgunga pori,carbamazepine.....(nakupenda sana best sijui kwanini, ila jina lako limenishinda kabisa kulishika)
Na wengine wote!

Ujumbe: Wakati ni ukuta, kamwe usishindane nao!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom