Hahaha kweli jasiri haachi asili[emoji23] [emoji23]Watu wa humu nimewamiss sana, naam watatu nimewakumbuka zaidi....
Nazikumbuka zile siku,
Tulizokesha wote usiku,
Japo sikuwa na kitu,
Maisha yangu yalikuwa ya furaha kwa kuwa nanyi.
Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie:
Nleterewa Nganengo,jjes,Neybright,Mwifwa,HB wa Kigogo,Kichwa Kichafu,Maserati,Spade 4 spade,No escape, Manga ML,Inna,Demiss,Iceman 3D,mumu,Mr. Miller,Ipogolo,mgunga pori,carbamazepine.....(nakupenda sana best sijui kwanini, ila jina lako limenishinda kabisa kulishika)
Na wengine wote!
Ujumbe: Wakati ni ukuta, kamwe usishindane nao!
Wewe[emoji40] [emoji40]Hahaha kweli jasiri haachi asili[emoji23] [emoji23]
Nakusalimu komrediYeah nilikua naumwa
Wewe[emoji40] [emoji40]Hahaha kweli jasiri haachi asili[emoji23] [emoji23]
Salama comrade za masikuNakusalimu komredi
Hivi ile style yako ya kucomenti vinukta umeiacha lini?[emoji12]wozaaaaaaa
[emoji6] [emoji6]Wewe[emoji40] [emoji40]
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwangu bukheri kabisa, naona lindo linaendelea kua salama mikononi mwako[emoji123]Salama comrade za masiku
Bawa.Popo
Wewe ndio umenifanya nirudi humu...nilikumiss kupitiliza[emoji6] [emoji6]
Umenikumbusha pale nilipoamua kusherehekea kuachwa kunywa balimi kwa kujipongeza na balimi tatu[emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125]
Wewe ndio umenifanya nirudi humu...nilikumiss kupitiliza[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji6] [emoji6]
Umenikumbusha pale nilipoamua kusherehekea kuachwa kunywa balimi kwa kujipongeza na balimi tatu[emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Wewe ndio umenifanya nirudi humu...nilikumiss kupitiliza[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kamwulize huyo PM wako, nimekuja kwako zaidi ya mara 200 lakini hunikaribishi [emoji18] [emoji18] [emoji18][emoji57] [emoji57] [emoji57]
Huko kunimisi kumeanza lini, dalili za mtu kumisiwa huanza kujionyesha kwa Prime Minister.[emoji40]
Pole sanaYeah nilikua naumwa
Shukrani mamitohThad[emoji9][emoji9][emoji9]
Nakumiss sana best ake,nashukuru kwa salamu hizi.
Penda wewe
Vipi kiongozi, mbona kama washangaaAiseee