Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
Hahahahahaaaaa.Mwifwa naona bize mbaya mkuu tusalimie tu humu halafu uendelee na zoezi lako la kuimarisha ndoa au uhusiano.![]()
Nipo honeyjupiter mkuu
Hahahahahaaaaa.Mwifwa naona bize mbaya mkuu tusalimie tu humu halafu uendelee na zoezi lako la kuimarisha ndoa au uhusiano.![]()
Usiku una mengi mno mkuunaona wale waliokuwa wadau wa humu kijiweni siku hizi wameamua kuasi kambi na kuhamia kwenye kutetea ndoa zao tu!
Na mm nkasema huyu mkuu akituona tu hta atupungie mkono aisee humu tutabarikiwa tu na ss.Hahahahahaaaaa.
Nipo honeyjupiter mkuu
Kwema mkuu hofu kwakoHabari za siku nyingi
Na mm nkasema huyu mkuu akituona tu hta atupungie mkono aisee humu tutabarikiwa tu na ss.

Fresh tu kiongozi! Leo nimekumbuka sana wana familia wa jukaa hiliKwema mkuu hofu kwako
Sio mbaya mkuu tukikumbukana.Fresh tu kiongozi! Leo nimekumbuka sana wana familia wa jukaa hili
Yan wakuu humu msikuogope hatulipishani kodi humu free tu unapita unatupa hi halaf unachapa lapa.Fresh tu kiongozi! Leo nimekumbuka sana wana familia wa jukaa hili

Hahahahahaaaaa.
Nipo honeyjupiter mkuu
Wewe kwetu nadhani msimu wa haya mambo unaujua, kwa hilo lisikupe shida sanaInamaana mkurugenzi umesharekebisha kimyakimya? Hongera mnyampaa
Wewe kwetu nadhani msimu wa haya mambo unaujua, kwa hilo lisikupe shida sana![]()
![]()
![]()
Sasa ngona tutambe kwanza na hela za kitunguu, ikifika August ujanja wote kwisha habari..Tano kwa tano director
Sasa ngona tutambe kwanza na hela za kitunguu, ikifika August ujanja wote kwisha habari..
Nenda kakate mpini mwingine porini banaSi bora yako unayo hata kama ya msimu mkubwa? Huku wengine shoka limeungua mpini...
Nenda kakate mpini mwingine porini bana
Kikubwa ni pumzi na subira mkuuShoka ndio hilo mpini umeungua swahiba. Tutapata wepesi Inshallah