Callme Sally
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 218
- 206
The last man standing
Hivi upo??
poa kumekuchaNiambie ukhuty. woyooooo
NimekujaaWakuu! Njooni basi kijiweni maana kimepoa kinoma! Njooni na mikeka mi nawasha moto tuote!

Ushawasha mkuu....au tuje tupulize?!Wakuu! Njooni basi kijiweni maana kimepoa kinoma! Njooni na mikeka mi nawasha moto tuote!
Tupo apa macho kodoWazee wa kukeshaa
Asante kwa kutukumbuka.Watu wa humu nimewamiss sana, naam watatu nimewakumbuka zaidi....
Nazikumbuka zile siku,
Tulizokesha wote usiku,
Japo sikuwa na kitu,
Maisha yangu yalikuwa ya furaha kwa kuwa nanyi.
Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie:
Nleterewa Nganengo,jjes,Neybright,Mwifwa,HB wa Kigogo,Kichwa Kichafu,Maserati,Spade 4 spade,No escape, Manga ML,Inna,Demiss,Iceman 3D,mumu,Mr. Miller,Ipogolo,mgunga pori,carba.....(nakupenda sana best sijui kwanini, ila jina lako limenishinda kabisa kulishika)
Na wengine wote!
Ujumbe: Wakati ni ukuta, kamwe usishindane nao!
You such a dear. Nimewamiss jamani, sanaaaa.Watu wa humu nimewamiss sana, naam watatu nimewakumbuka zaidi....
Nazikumbuka zile siku,
Tulizokesha wote usiku,
Japo sikuwa na kitu,
Maisha yangu yalikuwa ya furaha kwa kuwa nanyi.
Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie:
Nleterewa Nganengo,jjes,Neybright,Mwifwa,HB wa Kigogo,Kichwa Kichafu,Maserati,Spade 4 spade,No escape, Manga ML,Inna,Demiss,Iceman 3D,mumu,Mr. Miller,Ipogolo,mgunga pori,carba.....(nakupenda sana best sijui kwanini, ila jina lako limenishinda kabisa kulishika)
Na wengine wote!
Ujumbe: Wakati ni ukuta, kamwe usishindane nao!
Walinzi tupo na marungu yetu tunakeshaTupo
Jamani M kathias za siku?Asante kwa kutukumbuka.
Nami nilikukumbuka
Aidha ninawaza kwann ujumbe huo na sio mwingine.