JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Asante kwa kunikumbusha, ngoja nijiandae niwahi kanisani ili niwahi kutoka nikaangalie mechi ya watani wa jadi. Maana nasikia mgeni rasmi atakuja na cheti chake cha fomu foo
Hahaha hapo kwenye cheti hizo taarifa naomba ziishie kwenye masikio yako tu[emoji40]
Kwaiyo wewe uko mrengo gani wa hao watani? Tujuane mapema kabisa.
 
Hahaha hapo kwenye cheti hizo taarifa naomba ziishie kwenye masikio yako tu[emoji40]
Kwaiyo wewe uko mrengo gani wa hao watani? Tujuane mapema kabisa.
Niko mrengo utakaoshinda, wakitoka droo ujue mimi ni nisiyefungamana na upande wowote kama Afrika na vita baridi ya miaka ile
 
Niko mrengo utakaoshinda, wakitoka droo ujue mimi ni niyefungamana na upande wowote kama Afrika na vita baridi ya miaka ile
Hizi ni dalili tosha kuwa uko mrengo wa lile eneo ambapo maji yanakupwa kipindi cha kiangazi na kujaa kipindi cha masika[emoji40] [emoji125]
 
Back
Top Bottom