JamiiForums Usiku wa manane
Watu wa humu nimewamiss sana, naam watatu nimewakumbuka zaidi....
Nazikumbuka zile siku,
Tulizokesha wote usiku,
Japo sikuwa na kitu,
Maisha yangu yalikuwa ya furaha kwa kuwa nanyi.

Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie:
Nleterewa Nganengo,jjes,Neybright,Mwifwa,HB wa Kigogo,Kichwa Kichafu,Maserati,Spade 4 spade,No escape, Manga ML,Inna,Demiss,Iceman 3D,mumu,Mr. Miller,Ipogolo,mgunga pori,carba.....(nakupenda sana best sijui kwanini, ila jina lako limenishinda kabisa kulishika)
Na wengine wote!

Ujumbe: Wakati ni ukuta, kamwe usishindane nao!
Thad
 
weekend hii nafkiri,
Karibu tena humu.....nilikuMiss.
Thad jamani umepotelea wapi Karibu tena!
Niliwamiss mno ndugu zangu.
Majukumu yananitenganisha nanyi. Bado nimebanwa, nimepita tu kuwasabahi. Niko busy na pilika za shambani....nikishavuna nitarudi rasmi kijiweni
 
Back
Top Bottom