Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Kawaulize jirani zangu wote hapa kwa Mtogole, mimi ndio huwa nawaamsha kwa kuwawikia [emoji1]Tatizo sio kuwika, je unafahamu namna sahihi ya kuwika,? je unazingatia muda na muktadha katika uwikaji wako? [emoji125] [emoji125]